Skip to main content

Posts

Featured

FAIDA ZA MAJANI YA MRONGE NA MBEGU ZAKE

Faida za majani, mizizi ya mlonge  — updated on July 13, 2023 Kila sehemu ya mti wa mlonge hutumika kwa dawa. Majani ya mlonge yanaweza kutafunwa mabichi, yaliyochemshwa kama mboga au yaliyokaushwa na kusagwa kuwa unga. Mlonge una vitamini A zaidi ya ile ya kwenye karoti na protini nyingi kuliko mtindi. Pia, una madini chuma, asidi amino muhimu zinazohitajika mwilini na pia huongeza nguvu za kiume. Mlonge una jumla ya virutubisho 92, mmea au mti mwingine wenye virutubisho vingi baada ya mlonge una virutubisho 28. Pia, mlonge una viondoa sumu 46 na viondoa uvimbe mbalimbali mwilini 36, una asidi amino 18 na asidi amino muhimu zaidi tisa ambazo miili yetu haina uwezo wa kuzitengeneza. Baadhi ya magonjwa ambayo unga wa majani ya mlonge, mbegu au mizizi una uwezo wa kutibu ni kisukari, shinikizo la juu la damu, matatizo au maumivu ya mishipa, pumu na hutuliza wasiwasi. Magonjwa mengine ni maumivu ya kichwa, maumivu wakati wa hedhi, unasafisha mkojo na kibofu cha mkojo, unarekebisha mat...

Latest Posts

Download Paul Clement Kalya Ulinamaka

Download Paul Clement KaLya Ulinamaka